Before After
Before ndio jinsi ambavyo website imetengenezwa kwa kuzingatia computer ilivyo, na after ni jinsi inavyoonekana kwenye simu website iliyotengenezwa na @qmobiletanzania inavyoonekana kwenye simu Ikizingatia ubora wake usipotee yaani ni maalum kwa ajili ya simu. Maneno yake utayaona kama meseji, na huhitaji kukuza maneno au kupunguza ili kusoma kilichoandikwa.... unasubiri nini sasa??? Pata website yako inayoendana na simu na huku Ikipatikana katika simu directory moja na ya kisasa. Watu hawakai maofisini sasa muda mwingi barabarani zingatia hilo... suluhisho lako hili hapa... www.m.qmobile.co.tz |
No comments:
Post a Comment