Thursday, November 14, 2013


 Kwa kutambua umuhimu na ongezeko la matumizi ya simu nazindua platform, mobile application ambayo itawork kama yellow page lakini for local search engine ambapo huduma zote zitapatikana under one roof, unachotakiwa kufanya ni kuleta huduma yako tuiadd ukiwa nasi utapata extra value kama kuwatumia text wateja, kuwaemail na pia promotion ya biashara yako.. zaidi tunakupatia report ya viewers wako kwa mwezi.. bado sijaizindua rasmi na kwasasa kuna ofa pitia demo uone how it will look like m.mdemo.me

No comments:

Post a Comment